MANENO ALIYO SEMA MAGUFURI BAADA YA KUPOKE NDEGE


july 8.2018 ndege mpya ya serikali aina ya  Boeing 7878 Dreamliner kwa mara kwanza imetua katika uwanja wa kimataifa wa julius nyelele na kupokelewa na rais magufuri na katika hutuba hiyo leo july 8.2018
Jambo la kwanza
 ni kauli aliyo sema rais magufuli na nukuu nina tumaini watanzania wamefulahi kwa ujio wa ndege yetu kama wapo ambao hawajafulahi basi wata pata tabu sanaa alisema magufuli

Jambo la pili
tunataka balozi wa malekani atufikishe salama boeing kuwa ile dreamliner ya pili waikamilishe haraka hera tunazo
Jambo la tatu
ni msisito wa kulipa kodi ndege hizi ni matokeo ya watanzania kuliapa kodi na kikamilifu ndege zote hizi tumenunua kwa fedha zetu wenyewe hatuja kopa kwa mtu
Jambo la nne 
ni kufufua shilika la ATCL tumefufua ATCL kulejesha heshima ya nnchi ilikua aibu kutokua na ndege kwa nnchi kubwa kama Tanzania yenye sifa mbalimbali 

Jambo la tano 
ni kuongeza mapato tumeleta ndege hizi pia ziimalishe na kuongeza mapato yetu ya ya utalii  nnchini 70% (asilimia70 ) ya watalii wanatumia ndege  
Jambo la sita na la mwisho 
tumebana mianya yote na tunahakikisha kira hera inayopatikana inatumika kwa masilahi ya watanzania tanzania yenye sifa tanzania yenye mema inakuja tumefanikiwa kwa hili tutafanikiwa na mengine 
Raisi MAGUFURI

No comments