joketi mwegelo ateuriwa kuwa mkuu wilaya
mwanamitindo wa tanzatania joketi mwegelo ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya katika mabadiriko yaliyofanywa na rais dk john pombe magufuri
Rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania john pombe magufuli pia amefanya mabadiriko katika nyadhifa za uongozi wa wizara na utawara wa miji
katika hafra ilitazamwa moja kwa moja kwenye television (runinga) magufuri alimuteuwa profesa joseph buchweshaji kuwa katibu katika wizara ya viwanda biashara na uwekezeshaji profesa joseph alichukua nafasi hiyo aliyo kua nayo profeesa Elisate ole -Gabriel ambaye amehamishiwa katika wizara ya mifugo na uvuvi

Post a Comment