HARMONIZE AFUNGUKA JUU YA KUCHELEWA KUACHIWA KWA COLLABO YAKE NA KOREDE BELLO
Ni miezi zaidi ya 6 imepita sasa tangu mtu mzima Diamond Platnumz C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi alivyotusanua kuhusu collabo ya msanii wake Harmonize na mkali kutoka Nigeria ambaye yuko chini ya lebo ya Mavin Records Korede Bello.
I can't wait for the world to hear @Harmonize_tz new Hit ft Mr Romantic @koredebello ... it's one of my favorite Tunes at the Moment
“Me nina projects nyingi, halafu ni management ndiyo ambayo inahusika na kazi gani itoke, me kazi yangu ni kurekodi muziki mzuri tu na kusema nataka kufanya collabo na msanii gani, wao ndio wanajua muda gani nitashoot video, ni muda gani ngoma itatoka.”
Hayo ni machache kati ya mengi ambayo Harmonize amefunguka wakati akitolea ufafanuzi suala hilo la collabo na Korede Bello. Play hii video hapa chini kusikiliza full interview.
Post a Comment