GEORGE MICHAEL Amefariki akiwa na umri wa miaka 53
English singer na mwandishi mkongwe George Michael ameaga dunia 25 dec 2016 akiwa na miaka 53, George alieanza kujipatia umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 80 with the bend wham, baada ya hapo alijiongeza kivyake na kuanza kufanya solo hiyo ilikua mwaka 1987, msanii huyo mkongwe ameripotiwa kufa kwa matatizo ya moyo, akiongea na BBC, msemaji wa msanii huyo amesema
“It is with great sadness that we can confirm our beloved son, brother and friend George passed away peacefully at home over the Christmas period. The family would ask that their privacy be respected at this difficult and emotional time. There will be no further comment at this stage.”
Post a Comment