Diamond Platnumz ameendelea kuwapa kipaumbele wasanii walio chini ya label yake ya WCB ambao ni pamoja na Harmonize,Raymond,Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen. Kupitia akaunti yake ya Instagram, staa huyo amethibitisha kuwa kuna kolabo inakuja kati yake na Raymond ambayo anadai anaipenda zaidi.
Post a Comment